🕌 Faraja Yangu TV
El Ghazzal Team Dunia........Qaswida Qudura

El Ghazzal Team Dunia........Qaswida Qudura

Tayari tumekusogezea kazi mpya kabisa! Qaswida maalum kwa wapenzi wa Ghazal na utamaduni wa jamvi ni vita vimethihirishwa na hawa miamba kutoka Dar es salaam na Zanzibar. Burudani iliyosheheni hisia na radha ya kipekee ambayo hutaipata kwingine.

Fungua kwenye App
Tazama kwenye Web Player
Pakua App kutoka Google Play

App haijafunguka? Hakikisha umeisakinisha, au pakua kutoka Play Store:

Pakua Faraja Yangu TV